This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
Freelance translator and/or interpreter, Verified member
Data security
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
Open to considering volunteer work for registered non-profit organizations
Rates
All accepted currencies
U. S. dollars (usd)
Payment methods accepted
Visa, PayPal, Skrill
Portfolio
Sample translations submitted: 2
English to Swahili: Medical Detailed field: Medical (general)
Source text - English English
Managing the second stage of labor
Second stage is the pushing stage in labor.
It begins when the cervix is completely open and the woman has an urge to push.
It ends when the baby is born.
This video will show how to support the woman’s pushing efforts and what to do if progress is slow.
A woman’s cervix should be fully open before she starts to push – especially a first time mother.
If she pushes too early an edge of cervix can swell, interfere with her progress, and even tear.
You may confirm her dilation with a vaginal exam if you have been trained.
But, with experience, you’ll often be able to tell when a mother has reached the pushing stage without doing an exam.
Her mood often changes: she may be more irritable, withdrawn, or more focused.
As her contractions come stronger and more often; she may vomit, cry out, or have an uncontrollable urge to push.
Remind the woman to urinate so her bladder doesn’t interfere with her progress.
But avoid pit latrines – an accidental push could land the baby inside.
Encourage the woman to wait until she feels the urge to push.
This will save her energy.
Her body will push naturally, and when she is encouraged and supported, she will usually find the way to push that feels right and gets the baby out.
Let the mother choose the position that feels right to her.
She’ll make better progress if she is in an upright position; not flat on her back.
o Half –sitting may be most comfortable.
o Lying on her side is a good position if the baby is coming quickly.
o It can also help prevent tears.
o Hands and knees can be a helpful position when a woman feels labor in her back or when the shoulders are stuck.
o Squatting can help bring the baby down when the birth is slow.
Show the woman how to push well.
Suggest she open her legs wide, pulling her knees up towards her body and putting her chin to her chest.
Have her breath deeply and slowly between contractions.
Pushing her feet against you and her companion can make her pushes more powerful.
If a mother has difficulty pushing, do not scold or threaten her.
Upsetting or frightening her can slow the birth.
Instead encourage and work with her.
Each contraction is a new chance.
Continue to check the mother’s blood pressure and pulse regularly, every half hour if possible.
If they are out of range, she may be having a complication such as pre-eclampsia, dehydration, or infection.
Listen for the baby’s heartbeat after every few contractions.
Pay attention to how long the baby is taking to come as the mother pushes.
A woman’s first baby may take a full 2-3 hours of strong contractions and good effective pushing to be born.
If she’s had a baby before, she usually takes less than an hour to push the baby out, and can sometimes even do it in one push.
The birth is normal and healthy, as long as the baby continues to move down (even very slowly), the baby’s heartbeat is normal, and the mother has strength.
Pushing for a long time with no progress can cause serious problems such as a ruptured uterus or even the death of the baby or mother.
If the baby is not moving down at all after an hour of pushing with strong contractions, the mother needs help.
Ask yourself….
Is she afraid or exhausted?
- Talk to her supportively;
- Encourage her to rest for a few contractions, so she can become strong again.
- Give her something to drink with sugar in it, to give her energy.
Is her bladder full?
Suggest she try to urinate.
Try a change of position.
Squatting or pushing on a bucket can help bring the baby down.
Give her something to hold on to.
Pulling with her arms as she pushes with her abdomen may help.
Suggest she stimulate her nipples.
Pushing straight down with 2 fingers in the vagina can increase the urge to push.
If the bag of waters has not yet broken, and you know how to break it, this action can often help speed the progress of birth.
Don’t do fundal pressure – this can cause the placenta to detach or the uterus to rupture.
If these measures don’t help, her baby may be in a difficult position or the baby may be too big for her pelvis.
The mother should be transferred without delay to a facility that can do vacuum, forceps, and caesarean births.
This mother’s labor is progressing well.
With each contraction and each push from the mother, she moves the baby further down in the vagina.
Between contractions, the mother’s uterus relaxes and pulls the baby back up a little.
Now we see a little of the baby’s head coming down the vagina during contractions.
When the baby’s head stretches the vaginal opening to about the size of your palm, the head will stay at the opening - even between contractions.
This is called crowning.
Guide the mother to birth the head slowly, then the shoulders, then the baby’s body quickly follows.
Put the baby on the mother’s abdomen.
Thoroughly dry the baby and keep her in skin-to-skin contact with the mother.
Remember;
o The woman should start pushing when her cervix is fully open and she feels the urge to push.
o Let the mother choose the position that feels right to her.
o If the pushing stage is going too long, help her push more effectively and refer her if she’s not making progress.
Translation - Swahili Swahili
Kudhibiti awamu ya pili ya leba
Awamu ya pili ni awamu ya kusukuma wakati wa leba.
Huanza seviksi inapofunguka kikamilifu na mwanamke anapokuwa na hamu ya kusukuma.
Hutamatika mtoto anapozaliwa.
Video hii inaonyesha jinsi ya kusaidia juhudi za mama za kusukuma na cha kufanya iwapo leba inaendelea polepole.
Seviksi ya mwanamke inapaswa kuwa imefunguka kikamilifu kabla ya kuanza kusukuma – hasa kwa mama anayejifungua mara ya kwanza.
Iwapo atasukuma mapema sana ukingo wa seviksi unaweza kuvimba, kutatiza kuendelea kwa leba, na hata kupasuka.
Unaweza kudhibitisha kupanuka kwake kwa tathmini ya uke wake iwapo umefundishwa.
Lakini, unapoendelea kupata tajriba, mara nyingi utaweza kutambua mama anapofikia awamu ya kusukuma bila kufanya uchunguzi.
Hisia zake hubadilika mara kwa mara: anaweza kukasirika zaidi, kuelekeza mawazo yake mbali-, au kuwa mwangalifu zaidi.
Mikakamao yake inapokuwa dhabiti zaidi na kuja mara kwa mara; anaweza kutapika, kulia, au kuwa na hamu ya kusukuma isiyodhibitika.
Mkumbushe mwanamke kukojoa ili kibofu chake kisitatize kuendelea kwa leba yake.
Lakini jiepushe na choo cha shimo – kusukuma kusikokusudiwa kunaweza kumfanya mtoto kuanguka chooni.
Mtie mwanamke moyo kungoja hadi atakapohisi hamu ya kusukuma.
Hii itahifadhi nguvu zake.
Mwili wake utasukuma kwa kawaida, na anapotiwa moyo na kusaidiwa, kwa kawaida atapata njia ya kusukuma anayoihisi kuwa sawa na kumsukuma mtoto nje.
Mruhusu mama kukaa katika njia anayohisi kuwa sawa kwake.
Atafanya leba yake kuendelea bora zaidi iwapo atakaa wima; sio kulala bapa kwa mgongo wake.
o Kuketi kwa kujiegemeza kunaweza kuwa bora zaidi.
o Kulala kwa upande ni njia nzuri iwapo mtoto anashuka haraka.
o Pia kunaweza kumsaidia kuzuia kupasuka.
o Kujishikilia kwa mikono na magoti kunaweza kuwa njia ya kusaidia mwanamke anapohisi leba katika mgongo wake au mabega yake yanapokwama.
o Kuchuchuma kunaweza kusaidia kusukuma mtoto chini iwapo shughuli ya kuzaa inaendelea polepole.
Onyesha mwanamke jinsi ya kusukuma vyema.
Mpendekezee mama kupanua miguu yake, kuvuta magoti yake juu yakielekea upande wa mwili wake na kuweka kidefu chake kwenye kifua chake.
Kuvuta pumzi nyingi polepole kati ya mikakamao.
Kusukuma miguu yake dhidi yako na mwenza wake kunaweza kufanya kusukuma kwake kuwa bora zaidi.
Iwapo mama ana ugumu wa kusukuma, usimkaripie au kumtishia.
Kumkasirisha au kumshtua kunaweza kufanya shughuli ya kuzaa kuendelea polepole.
Badala yake mtie moyo na mshirikiane.
Kila mkakamao ni fursa mpya.
Endelea kutathmini shinikizo la damu la mama na mdudo wake wa moyo mara kwa mara, ikiwezekana kila baada ya nusu saa.
Iwapo iko nje ya kiwango, anaweza kuwa na tatizo kama vile prekilampsia, upungufu wa maji mwilini, au ambukizo.
Sikiza mdudo wa moyo wa mtoto kila baada ya mikakamao michache.
Sikiza kwa makini muda anaochukua mtoto kusonga mama anaposukuma.
Mtoto wa kwanza anaweza kuchukua masaa 2-3 kamili ya mikakamao dhabiti na kusukuma kuzuri kunakofaa kabla ya mtoto kuzaliwa.
Iwapo amewahi kuwa na mtoto hapo awali, kwa kawaida huchukua muda wa chini ya saa moja kumsukuma mtoto nje. Na wakati mwingine hata anaweza kufanya hivyo kwa kusukuma mara moja.
Kuzaa huwa kwa kawaida na bora kiafya, iwapo mtoto ataendelea kusonga chini (hata polepole sana), mpigo wa moyo wa mtoto unapokuwa wa kawaida, na mama anapokuwa na nguvu.
Kusukuma kwa muda mrefu bila kuwa na mafanikio yoyote kunaweza kusababisha matatizo hatari kama vile kupasuka kwa uterasi au hata kifo cha mtoto au mama.
Iwapo mtoto hasongi chini kamwe baada ya kusukuma kwa saa moja kukiwa na mikakamao dhabiti, mama huhitaji usaidizi.
Jiulize….
Je, anaogopa au amechoka?
- Ongea naye kwa njia ya kumsaidia;
- Mtie moyo kupumzika kwa mikakamao michache, ili awe na nguvu tena.
- Mpe kinywaji kilicho na sukari, ili kumpa nguvu.
Je, kibofu chake kimejaa?
Mpendekezee ajaribu kukojoa.
Jaribu kubadilisha jinsi alivyokaa.
Kuchuchuma au kusukuma kwenye ndoo kunaweza kumsongesha mtoto chini.
Mpe kitu cha kushikilia.
Kuvuta kwa mikono yake anaposukuma kwa fumbatio kunaweza kusaidia.
Mpendekezee kuchechemua chuchu zake.
Kusukuma chini moja kwa moja huku vidole vikiwa ukeni kunaweza kuongeza hamu ya kusukuma.
Iwako mfuko wake wa maji bado haujapasuka, na unajua jinsi ya kuupasua, hatua hii mara nyingi inaweza kusaidia kuharakisha shughuli ya kuzaa.
Usifanye shinikizo la fedali – hii inaweza kusababisha kuachana kwa plasenta au kupasuka kwa uterasi.
Iwapo hatua hizi hazitasaidia, mtoto wake anaweza kuwa katika hali ngumu au mtoto anaweza kuwa mkubwa sana kuweza kupitia kwenye pelvisi yake.
Mama anapaswa kupewa rufaa bila kuchelewa katika kituo kinachoweza kuendeleza shughuli ya uzazi wa ombwe, fosepsi na operesheni ya siza.
Mama huyu leba yake inaendelea vyema.
Kwa kila mkakamao na kila kusukuma kutoka kwa mama, husukuma mtoto chini zaidi kwenye uke.
Katikati ya mikakamao, uterasi ya mama hulegea na kuvuta mtoto nyuma juu kidogo.
Sasa tunaona sehemu kidogo ya kichwa cha mtoto ikishuka kwenye uke wakati wa mikakamao.
Kichwa cha mtoto kinapopanua mwanya wa uke hadi takribani kiwango cha kiganja chako, kichwa kitasalia kwenye mwanya wa uke – hata katikati ya mikakamao.
Hii huitwa kukrauni.
Muelekeze mama kusukuma kichwa polepole, kisha mabega, kisha mwili wa mtoto hufuata haraka.
Muweke mtoto kwenye fumbatio la mama.
Mpanguze mtoto kikamilifu na umuweke akiwa anagusana ngozi kwa ngozi na mama yake.
Kumbuka;
o Mwanamke anapaswa kuanza kusukuma seviksi yake inapofunguka kikamilifu na anapohisi hamu ya kusukuma.
o Mruhusu mama kuchagua njia ya kukaa anayoihisi kuwa sawa kwake.
o Iwapo awamu ya kusukuma inakuwa ndefu sana, msaidie kusukuma inavyofaa zaidi na umpe rufaa iwapo shughuli yake ya kuzaa haiendelei.
English to Swahili: Medical General field: Medical Detailed field: Medical (general)

More
Less
Translation education
Bachelor's degree - University of Nairobi
Experience
Years of experience: 13. Registered at ProZ.com: May 2015. Became a member: Dec 2015.
Help or teach others with what I have learned over the years
Bio
I am a graduate from The University Of Nairobi with a bachelors degree in Linguistics. Currently I am a full time freelance Translator translating information from English to Swahili, English to Kimeru, English to Somali and back translation of the same. Apart from translation I also offer transcription and voice over services in the above named language pairs. I have five years experience in translation industry.
I have worked for reputable Organizations like Translators Without Borders, Wikipedia, Infosaid and Words of Relief to mention just but a few.
I am a lady who is result oriented and able to meet my clients deadlines without compromising on the quality of the work. Whenever I encounter any problem on the process of carrying out any project, I am always free to consult my clients for more clarification to make sure that I do a wonderful job for them. I am so passionate about translation hence enjoy and love my work.
Give me your job and you will never be disappointed. You can contact me through my mobile number +254710103180 or my email address [email protected]
Keywords: medical translator, best healthcare translator, Swahili healthcare translator, Swahili expert, Best Kenyan Swahili Translator, Swahili expert, traductor, Swahili expert, Swahili to english translator, swahili to somali. See more.medical translator, best healthcare translator, Swahili healthcare translator, Swahili expert, Best Kenyan Swahili Translator, Swahili expert, traductor, Swahili expert, Swahili to english translator, swahili to somali,kenyan swahili,tanzanian swahili,culture,nairobi,native swahili,swahili kenya,proofreader,swahili editor,swahili proofreader,swahili transcription,swahili law translator,general greetings,education,english to somali,kiswahili translator,best transcript, Swahili transcriptit, swahili voiceover, swahili guru, kenyan translator, best transcriber,native swahili voiceover,swahili freelancer,researcher,best swahili researcher,memo Q. See less.