English to Swahili: Kidneys (Figo) General field: Science Detailed field: Biology (-tech,-chem,micro-) | |
Source text - English The kidneys are two bean-shaped organs, each about the size of a fist. They are located just below the rib cage, one on each side of the spine. Every day, the two kidneys filter about 120 to 150 quarts of blood to produce about 1 to 2 quarts of urine, composed of wastes and extra fluid. | Translation - Swahili Figo ni ogani mbili zenye umbo kama harage, huku kila moja ikiwa sana na ukubwa sawa na ngumi. Figo ziko chini kidogo ya mifupa ya mbavu - moja kila upande wa uti wa mgongo. Kila siku, hizi figo mbili huchuja takribani kwati 120 hadi 150 za damu ili kutoa kiasi cha kwati 1 hadi 2 za mkojo, ambao una takamwili na ugiligili wa ziada. |