Jun 27 11:56
3 days ago
10 viewers *
English term

Flex Sigmoidoscopy

English to Swahili Medical Medical: Health Care Information
Naombeni msaada wa neno hili kama linavyoelezwa katika muktadha huu "If you are having a Flex Sigmoidoscopy and do not require sedating medications for your procedure, you may drive home.
Proposed translations (Swahili)
4 Kipimo cha utumbo mpana wa sigma

Proposed translations

2 hrs

Kipimo cha utumbo mpana wa sigma

Flex Sigmoidoscopy (flexible Sigmoidoscopy) ni kipimo cha kuchunguza sehemu ya chini ya utumbo mpana (utumbo mpana wa sigma (sigmoid colon), puru (rectum).





--------------------------------------------------
Note added at 2 hrs (2024-06-27 14:19:29 GMT)
--------------------------------------------------

Kipimo hiki mara nyingi huwa hakihitaji dawa za ganzi. Kwahiyo mgonjwa anaweza kuendelea na shughuli zake za kawaida baada ya kipimo
Something went wrong...
Term search
  • All of ProZ.com
  • Term search
  • Jobs
  • Forums
  • Multiple search