This site uses cookies.
Some of these cookies are essential to the operation of the site,
while others help to improve your experience by providing insights into how the site is being used.
For more information, please see the ProZ.com privacy policy.
This person has a SecurePRO™ card. Because this person is not a ProZ.com Plus subscriber, to view his or her SecurePRO™ card you must be a ProZ.com Business member or Plus subscriber.
Affiliations
This person is not affiliated with any business or Blue Board record at ProZ.com.
Open to considering volunteer work for registered non-profit organizations
Rates
Swahili to English - Standard rate: 0.06 USD per word / 24 USD per hour / 0.05 USD per audio/video minute English to Swahili - Standard rate: 0.06 USD per word / 24 USD per hour / 0.05 USD per audio/video minute Simple English to English - Standard rate: 0.06 USD per word / 24 USD per hour / 0.05 USD per audio/video minute Simple English to Swahili - Standard rate: 0.06 USD per word / 24 USD per hour / 0.05 USD per audio/video minute Swahili to Simple English - Standard rate: 0.06 USD per word / 24 USD per hour / 0.05 USD per audio/video minute
Source text - Swahili PART I: INFORMATION SHEET
Introduction
I am [Name]________________________________________________, working for the Ifakara Health Institute (IHI) which is working with ISGlobal and Unitaid to do research on how the use of ivermectin to prevent malaria might impact the environment. I am going to give you information and invite you to be part of this research. You do not have to decide today whether or not you will participate in the research. Before you decide, you can talk to anyone you feel comfortable with about the research.
There may be some words and information that is unclear to you. Please ask me to stop as we go through the information and I will take time to explain.
Purpose of the Research
You are probably aware of the BOHEMIA clinical trial that is happening in your village/hamlet. The trial is testing the use of ivermectin for the control of mosquitoes that spread malaria. When testing this new method to prevent malaria it is important to learn about how the use of ivermectin might affect the environment. When a human or animal receives ivermectin, some of it leaves the body in the stool and urine. We will collect data that will allow us to determine if ivermectin goes into and affects the environment.
Type of Research Intervention
If you agree to participate, we will collect environmental samples from the land and water where cattle graze and some of the cattle dung. We will also need to put treated cattle dungs and small nettings and marking flags on certain areas of the lands that might be used by you. It is important for this study that these nettings and marking flags will not be disturbed for the duration of the study.
Participant Selection
We have selected households to participate in this study from a list of those who are participating in the clinical trial. This selection was random. To take part the Head of Household or their substitute must have given consent.
Voluntary Participation
Your participation in this research is entirely voluntary. It is your choice whether to participate or not. Whether you choose to participate or not will not affect your participation in the ongoing BOHEMIA clinical trial or any other study that you have elected to participate in. You may change your mind later and stop participating even if you agreed earlier.
Procedures and Protocol
If you elect to participate in this study and are selected for environmental sampling, we will collect samples of soil, water, matter that settles to the bottom of the water (sediment), insects living in the bottom of the water, and dung from the land where the cattle graze. We may also ask permission to place treated cattle dung and nettings/marking flags on land for up to 10 months.
We will collect latrine samples and cattle dung samples one time before the clinical trial starts and up to four times a month in the 3 months during the clinical trial. We will collect samples of soil, water, matter that settles to the bottom of the water (sediment), and insects living in the bottom of the water, one time before the clinical trial starts and up to 8 times during the year after the clinical trial has started. All soil and water collection and testing will be on the land where cattle are grazed. We will combine the collected cattle dung samples into smaller portions with each portion placed in a cage on the land where cattle are grazed. The insects trapped inside the cages will be collected up to 9 times during a 7-month period of the study.
Sample collection:
Cattle dung samples will be taken from fresh dung piles. This will not require us to tie up an animal. We will check on the animal until it passes dung and then take a sample from the dung to check for worms.
Collection of soil, water, material that has settled at the bottom of the water (sediment), and dung samples will be conducted on cattle-grazed land after we have received your and the owner of the cattle’s permission to access and collect samples.
Duration
1 month before and 10 months after the starting of the BOHEMIA clinical trial.
Risks
We do not think there are any risks to you, your land, water or the cattle if you take part in this research.
Benefits
We expect that you and your community may have indirect benefits from taking part in this study. However, your participation will help us understand the effect using ivermectin for treating malaria on the environment.
Reimbursements
We do not expect any risks to you from participating in the study. Therefore, you will not be provided any money or goods for participating.
Costs to you
Other than your time, there is no cost to taking part in the research.
Confidentiality
We will not be sharing information about you to anyone outside of the research team. The information that we collect from this research project will be kept private. Any information about you will have a number on it instead of your name. Only a few researchers will know what your name and number is. All computers and electronic tablets are protected with a password to keep your information safe. Only authorized people will have access to this information. You will not be identified by name in any reports or publications about this study. Information about this study may be looked at by ISGlobal (the Sponsor), The Ifakara Health Institute Institutional Review Board (IHI IRB), and National Medical Research Coordination Committee (NMRCC) of National Institute for Medical Research (NIMR) and/or Unitaid (the Funder).
Right to Refuse of Withdraw
• You do not have to take part in this research if you do not wish to do so.
• You have the right not to sign this form. If you do not sign this form, you cannot take part in this research study. This is because we need your written permission to use your information
• You have the right to leave the study at any time. You will then no longer take part in this study and we will not use your information. If you would like to leave the study, please tell a member of the study staff. You do not need to explain why you want to leave the study.
Translation - English SEHEMU YA 1: FOMU YA TAARIFA
Utangulizi
Mimi [Jina] , ninafanya kazi katika Taasisi ya Utafiti ya Afya Ifakara (IHI) ambayo inafanya kazi na ISGlobal na Unitaid kufanya utafiti wa namna ambavyo matumizi ya dawa ya kuzuia malaria ya ivermectin inavyoweza kuathiri mazingira. Nitakupa taarifa na ninakukaribisha uwe sehemu ya utafiti huu. Sio lazima ufanye maamuzi leo kama utashiriki au hutashiriki katika utafiti huu. Kabla hujaamua, unaweza kuongea na mtu yoyote unayemuamini kuhusu utafiti huu.
Kunaweza kuwa na maneno na taarifa ambayo hayajaeleweka kwako. Tafadhali niulize kwa kunisimamisha wakati tunapitia taarifa na nitatumia muda kukuelezea.
Dhumuni la Utafiti
Unaweza kuwa na ufahamu wa utafiti wa BOHEMIA ambao unaendelea katika kijiji/kitongoji chako. Utafiti huu unapima matumizi ya dawa ya ivermectin ili kudhibiti mbu wanaoeneza ugonjwa wa malaria. Wakati tunapima njia hii mpya ya kuzuia ugonjwa wa malaria ni muhimu kujifunza namna ambavyo matumizi ya dawa ya ivermectin inavyoweza kuathiri mazingira. Pindi binadamu au wanyama wanapopata dawa ya ivermectin, kiasi hutoka mwilini kwa njia ya haja kubwa na mkojo. Tutakusanya taarifa ambazo zitatusaidia kuona kama dawa ya ivermectin inaingia na kuathiri mazingira.
Aina ya Utafiti
Kama utakubali kushiriki, tutakusanya sampuli za mazingira kutoka kwenye ardhi na maji ambapo mifugo wanachunga na kuna kinyesi cha mifugo. Pia tutahitaji kuweka kinyesi cha mifugo kilichotibiwa na nyavu ndogo na bendera zenye alama kwenye baadhi ya maeneo kwenye ardhi ambayo yataweza kutumiwa na wewe. Ni muhimu kwa utafiti huu kuwa nyavu na bendera zenye alama kutosumbuliwa au kutolewa wakati wote wa utafiti.
Uchaguzi wa Mshiriki
Tumechagua kaya kushiriki kwenye utafiti huu kutoka kwenye idadi ya washiriki wanaoshiriki katika tafiti za kitabibu. Uchaguzi huu umefanyika bila kufuata utaratibu maalum. Ili kushiriki, mkuu wa kaya au mwakilishi lazima atoe idhini.
Ushiriki wa hiari
Ushiriki wako kwenye utafiti huu ni wa hiari kabisa. Ni uamuzi wako kushirki au kutoshiriki. Kama utaamua kushiriki au la haitaathiri ushiriki wako katika utafiti wa kitabibu wa BOHEMIA au tafiti yoyote ambayo umechagua kushiriki. Unaweza kubadili mawazo baadae au kuacha kushiriki hata kama ulikubali kushiriki kabla.
Taratibu na Itifaki
Kama utachagua kushiriki katika utafiti huu na ukachaguliwa kwa ajili ya sampuli za mazingira, tutakusanya sampuli za udongo, vitu vilivyotuwama katika vyanzo vya maji, wadudu wanaishi chini ya maji, na vinyesi vya mifugo ambapo huchungia. Pia tutaomba ruhusa ya kuweka kinyesi cha mifugo kilichowekwa dawa na wavu/bendera kwenye ardhi kwa muda wa mpaka miezi 10.
Tutakusanya sampuli kutoka chooni na sampuli za kinyesi cha mifugo mara moja kabla ya jaribio kuanza na mara nne kwa mwezi kwa kipindi cha miezi mitatu wakati wa utafiti. Tutakusanya sampuli za udongo, maji, vitu vilivyotuwama katika vyanzo vya maji na wadudu wanaishi chini ya maji, mara moja kabla ya utafiti kuanza na mpaka mara 8 kwa mwaka baada ya utafiti kuanza. Udongo na maji yote yatakusanywa na upimaji utafanyika kwenye ardhi ambapo mifugo huchungia. Tutachanganya sampuli za mifugo zilizokusanywa katika sehemu ndogo na kila sehemu kuwekwa kwenye kisanduku kwenye ardhi ambayo mifugo huchungia. Wadudu watakaonaswa ndani ya kisanduku watakusanywa mpaka mara 9 kwa kipindi cha miezi 7 wakati wa utafiti.
Ukusanyaji wa sampuli
Sampuli za vinyesi ya mifugo zitachukuliwa kutoka kwenye marundo ya vinyesi vipya. Hii haitahitaji kumfunga mnyama. Tutamwangalia mnyama mpaka atakapotoa kinyesi ndipo tuchukue sampuli ya kinyesi ili kuangalia minyoo.
Ukusanyaji wa udongo, maji, vitu vilivyotuama katika maji na sampuli za vinyesi utafanyika kwenye sehemu ambazo mifugo huchungia baada ya kupokea ruhusa yako na mwenye mifugo ili kupata na kukusanya sampuli.
Muda
Mwezi 1 kabla na miezi 10 baada ya kuanza kwa utafiti wa kitabibu wa BOHEMIA.
Madhara
Tunafikiri hakuna madhara kwako, ardhi yako, maji au mifugo kama utashiriki katika utafiti huu.
Faida
Tunategemea kuwa wewe na jamii yako mtanufaika kwa namna isiyo ya moja kwa moja kwa kushiriki katika utafiti huu. Hata hivyo, ushiriki wako utatusaidia kuelewa athari za matumizi ya dawa ya kutibu malaria ya ivermectin katika mazingira.
Ulipaji
Hatutarajii kuwa kutakuwa na madhara yoyoye kwa wewe kushiriki katika utafiti huu. Kwahiyo, hutapewa pesa au kitu chochote kwa wewe kushiriki.
Gharama kwako
Mbali na muda wako, hakuna gharama yoyote ya wewe kushiriki katika utafiti huu.
Usiri
Hatutasambaza taarifa zako kwa mtu yoyote nje ya timu ya utafiti. Taarifa tunazozikusanya kwenye utafiti huu zitatunzwa kwa usiri. Taarifa yoyote kuhusu wewe zitatumia namba badala ya kutumia jina lako. Watafiti wachache sana watajua jina lako na namba yako. Kompyuta na vishikwambi zinalindwa na nywila ili kuweka taarifa sehemu salama. Watu walioidhinishwa tu ndio wataweza kuona taarifa hizi. Hutaweza kujulikana kwa jina kwenye taarifa au machapisho ya utafiti huu. Taarifa za utafiti huu zitatunzwa na ISGlobal (Mfadhili wa mradi), Bodi ya Tathmini ya Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI IRB) na Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Utafiti wa Tiba (NMRCC) ya Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR) na/au Unitaid (Mfadhili).
Haki ya Kujiondoa
• Huna sababu ya kushiriki utafiti huu kama hutaki kushiriki.
• Una haki ya kutosaini fomu hii. Kama hutasaini fomu hii, huwezi kushiriki kwenye utafiti huu. Hii ni kwa sababu tunahitaji ruhusa yako ya maandishi kutumia taarifa zako.
• Una haki ya kujiondoa kwenye utafiti muda wowote. Kama utahitaji kujiondoa kwenye utafiti, tafadhali mfahamishe mfanyakazi wa timu ya utafiti. Huhijitaji kuelezea kwa nini unataka kujitoa kwenye utafiti.
More
Less
Experience
Years of experience: 10. Registered at ProZ.com: Mar 2021.
Adobe Illustrator, Adobe Photoshop, Aegisub, memoQ, Microsoft Word, SDL Trados, Smartcat, STAR Transit, Subtitle Editor, Subtitle Workshop, Trados Studio
I offer English-Swahili translation, subtitling, editing, MT-review, and voice-over acting.
I use modern tools to ensure that the job is done. I have been working with Trados studio for over 4 years, besides I use MemoQ. These tools help in ensuring that I maintain the format of the source file.
Besides, I have a home studio for recording vocals. My studio has a good sound card, studio microphone, and a treated vocal room for quality audio recording.
Keywords: Swahili, subtitler, MT-review, Tanzania, Voice Over acting, localization